Exodus 18:1

Yethro Amtembelea Mose

1 aBasi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Mose na watu wake wa Israeli, pia jinsi Bwana alivyowatoa Israeli Misri.

Copyright information for SwhNEN